*Jana nlienda kununua parachichi la mia tano nkaomba mfuko,mama ayubu akaniambia hatoagi mfuko kwa vitu vya chini ya elf moja Leo nimeenda kununua vocha ya elfmoja nkaomba mfuko...mpaka sasa muuzaji ananikodolea macho sijui anataka kunipa mifuko Miwili........!!!!!!!!*
#neva
karibu kwenye global Leo. tufollow Instagram @global_leo
No comments:
Post a Comment